Tunapokutana Dodoma kujadili masuala ya Afya na ukatili ili kuweza kuzikabili na kuifanya wana jamii wa jinsi zotewaione dunia ni mahala salama,
VET kwa kushirikina na. Marie Stopes Tanzania Tunapozungumzia jamii bora tunalenga afya ya mama na mtoto, Tunazingatia kupunguza changamoto za afya ya uzazi kwa wanawake ili kufikia malengo ya milenia
UONGOZI NA BINTI “naweza”. Fursa kwa mabinti mliopo vyuoni Tanga na Morogoro, jaza fomu katika tovuti yetu ya ili kuweza kupata nafasi ya kushiriki kwenye mafunzo ya uongozi. 2020 haachwi binti kwenye uongozi Fomu ya usajili