Mafunzo ya Afya ya uzazi

VET kwa kushirikina na. Marie Stopes Tanzania Tunapozungumzia jamii bora tunalenga afya ya mama na mtoto, Tunazingatia kupunguza changamoto za afya ya uzazi kwa wanawake ili kufikia malengo ya milenia